
Mr. Mohamed Ame Makame
Mkurugenzi Mtendaji
Wakala wa Usajili wa matukio ya Kijamii Zanzibar ni muungano wa Taasisi ya Afisi ya Vizazi na Vifo na Afisi ya Usajili na Kadi za Utambulisho Zanzibar. Afisi hii imeanzishwa kwa Sheria Namba 3 ya 2018, ina majukumu ya kusajili Matukio ya kijamii na kutoa vyeti vya Vizazi, Vifo, Ndoa, Talaka na Vitambulisho vya Mzanzibari Mkaazi



